Mjasiriamali1
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 891
- 237
Ofm wa Shingongo vip siku hizi, nilikuwa naelekea hospital ya Marie Stopes kwenda kucheki malaria usiku huu maana ndo hospital karibu na home, baada ya kujisikia vibaya la ajabu nimekuta wale dada poa, wanafanya mapenzi kama mbwa barabarani kabisa hakuna hata kificho, mbaya zaidi pembeni kuna guest ila hawatumii guest!
Ukipita hongera bar kama unaelekea kituo cha Africasana Sinza upande wa kulia kabla hujafika ile bar ya corner bar! Ile barabara inayochepukia Marie stopes Hospital, wako njiani hapo wanavua nguo zote na kubaki uchi wakigeukia barabarani, ni aibu iliyoje hii nchi utafikiri haina serikali za mtaa, haina polisi.
Mbaya zaidi maeneo hayo ni makazi ya watu. Serikali imeshindwa kuwafukuza hawa dada poa jamani. Wanafanya mapenzi barabarani kama mbwa? Yani hakuna hata kificho! Au ndo imehalalisha uharamu huu?