Mada za mwaka huu na experience yangu humu wakati nipo single

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,083
5,659
Humu mada nyingi nizakuachwa. Umri sio tatizoo tatizoo ni kuwa makini katika uchaguzi .

Mke mwema huja mwenyewe asilimia kubwa tatizo hao mnawapuuzia mnaishia kupata wanawake ambao bila hela wewe sio kitu.

Mwanamke anayekupenda niyule ambaye ukiishiwa anakujali hata kimawazo hakukimbii.
Wakati wasasa wanaume hawajui kuchagua mpenzi sahihi kwa wakati sahihi kwa sababu mnaangalia mtu anavyojiweka, kimavazi , kazi yake unavutiwa.
Ila shida ipo hivi mwanamke sahihi nianavyokukubali wewe kama wewe sio kwa vitu ulivyonavyo .
Unakazi nzuri ila unajiona kwa hiyo unakuwa unaendelea kupata mario.
Unakazi nzuri unaoa malaya kisa tabia yako ya madharau.

Kwa hiyo mke mzuri ni kijana wakati anaoa anapendwa .
Wapenzi mfano hai hushangai mwanaume maskini anaoa ??
Hujui kwanini hujishusha kwa mpenzi wake anakuja yeye kama yeye sio kisa anavitu vya dhamani .

Humi hadi wanaume wa 45 wapo hajui mtoto nini kazi yake anapata malaya tu . Kwanini anavyojiweka .

Jinsi yakumpata mtu sahihi usimwekee kipimo ishi na yeye miezi mitatu naumuone jinsi anavyokuchukulia .
Mwanamke ukimwona hakujali yeye ni ile tu anakupendea vitu ambavyo havijengi muogope sana.

Starehe tu, nguo apendezee na yeye haombi hela za kujijenga yeye kama yeye sasa atakujengaje wewe .
Hana kipimo cha hela .
Hawezi kukunyima vitu visivyo vya lazima .
Yaani mkiwa naye unapoteza hela tu wala huweki hela.

Huyo mkimbie mtu anayekupenda anakutunza unamtunza .
Ukiwa na shida hawezi kuwatayari kukusaidia .

Kwa wanawake mwanaume anayekupenda hakuchezei anakutunza nakukupenda .
Mf. Hawezi vinavyoshindikana mf. Tigo babe naomba hichooo yeye anadai haridhiki hadi hichoo.

Mwanaume akupendaye atataka ufike mbali.
Atakufungulia biashara au akutafutie kazi ujikimu.

Mwanaume akupendaye hatokuwa anakukasirikia ukikosea atakusaidia atakurekebisha naatahakikisha hurudii kosa.
Mwanaume anayekupenda lazima akujulie hali.
Atakutafuta kujulia hali .
Hata akikaa muda atakuomba msamaha atajielezea na atakuweka sawa .
Hela nikitu chamwisho kukuzoesha .
Ila kukufanyia mengi ya mbeleni hupo kidete hata penda uishi mwenyewe .
Lazima atakuwa anakulinda atakuja kwenu au kwako .
Lazima ajue kama uko powa what you need and he will help you.

Hayo ndio machache niyajuayo.

Wakati nipo single humu niliteswa niliitwa malaya na nilitoa picha halisi ila watu walichukulia mzaha.
Humu ndani kweli sijapataga mtu serious.

Wote wanakukashifu tu.
Mapenzi hakunaga .

Humu ndani wengi wanaona shida ya mwenzao niyakukashifu nakukutolea mambo machafu kabisa kwa sababu wao wamepiga hatua hawapo kwenye shida huku kunawajuaji.

Intake yangu kama upo serious kweli mtaani wapo , mjini utawapata naniraha unamuona sio mnachart na blank.

Good night all .
 
Hii ni lugha gani? Yan we mkenya hujajua kiswahili mpaka leo?
 
Ila watu! Sasa sahivi upo double ndo umeamua kuja kutuchamba..?
Halafu unakauli Tata sana!

"Wakati nipo single humu niliteswa niliitwa malaya na nilitoa picha halisi ila watu walichukulia mzaha.
Humu ndani kweli sijapataga mtu serious."

Halafu ukaja kukazia hapa!😁

"Wote wanakukashifu tu.
Mapenzi hakunaga ."

Sasa walikukashifu wangapi mama..? Hiyo "wote"yaonyesha ni wengi!! Huoni hii inakuchafua hata kama umeikataa kauli "malaya"..?? Anyway tuache hilo nimependa ushauli wako hasa hapo penye kuonyesha mtu sahihi it make sense.
 
Uandishi mboooooovu
Wewe fuata ushauri kama haulewi basiii .
Acha kuponda time ya mtu utakuwa lini kama wewe unaponda tu ponda tu ndio hivyo unaponda watu muhimu unakosa usaidizi jaribu kuwa na roho nzuri kwa kila mtu labda utabadilika kimtazamo na kiuhalisia .
 
Ila watu! Sasa sahivi upo double ndo umeamua kuja kutuchamba..?
Halafu unakauli Tata sana!

"Wakati nipo single humu niliteswa niliitwa malaya na nilitoa picha halisi ila watu walichukulia mzaha.
Humu ndani kweli sijapataga mtu serious."

Halafu ukaja kukazia hapa!😁

"Wote wanakukashifu tu.
Mapenzi hakunaga ."

Sasa walikukashifu wangapi mama..? Hiyo "wote"yaonyesha ni wengi!! Huoni hii inakuchafua hata kama umeikataa kauli "malaya"..?? Anyway tuache hilo nimependa ushauli wako hasa hapo penye kuonyesha mtu sahihi it make sense.
Ndio , Asante kwa ushauri ila "huyo malaya" kaolewa sasa na anafamilia kubwa tu. Halafu kwani wangapi walikuwa wananipondea humu.

Maneno mazito mpaka mtu unakufaa watu humu wanamalengo yakupendwa nakusettle but nyie wanaume mnawadharau na still mko single humu kunawatu kabisa wapo serious na urafiki wakudumu.
 
Humu mada nyingi nizakuachwa. Umri sio tatizoo tatizoo ni kuwa makini katika uchaguzi .

Mke mwema huja mwenyewe asilimia kubwa tatizo hao mnawapuuzia mnaishia kupata wanawake ambao bila hela wewe sio kitu.

Mwanamke anayekupenda niyule ambaye ukiishiwa anakujali hata kimawazo hakukimbii.
Wakati wasasa wanaume hawajui kuchagua mpenzi sahihi kwa wakati sahihi kwa sababu mnaangalia mtu anavyojiweka, kimavazi , kazi yake unavutiwa.
Ila shida ipo hivi mwanamke sahihi nianavyokukubali wewe kama wewe sio kwa vitu ulivyonavyo .
Unakazi nzuri ila unajiona kwa hiyo unakuwa unaendelea kupata mario.
Unakazi nzuri unaoa malaya kisa tabia yako ya madharau.

Kwa hiyo mke mzuri ni kijana wakati anaoa anapendwa .
Wapenzi mfano hai hushangai mwanaume maskini anaoa ??
Hujui kwanini hujishusha kwa mpenzi wake anakuja yeye kama yeye sio kisa anavitu vya dhamani .

Humi hadi wanaume wa 45 wapo hajui mtoto nini kazi yake anapata malaya tu . Kwanini anavyojiweka .

Jinsi yakumpata mtu sahihi usimwekee kipimo ishi na yeye miezi mitatu naumuone jinsi anavyokuchukulia .
Mwanamke ukimwona hakujali yeye ni ile tu anakupendea vitu ambavyo havijengi muogope sana.

Starehe tu, nguo apendezee na yeye haombi hela za kujijenga yeye kama yeye sasa atakujengaje wewe .
Hana kipimo cha hela .
Hawezi kukunyima vitu visivyo vya lazima .
Yaani mkiwa naye unapoteza hela tu wala huweki hela.

Huyo mkimbie mtu anayekupenda anakutunza unamtunza .
Ukiwa na shida hawezi kuwatayari kukusaidia .

Kwa wanawake mwanaume anayekupenda hakuchezei anakutunza nakukupenda .
Mf. Hawezi vinavyoshindikana mf. Tigo babe naomba hichooo yeye anadai haridhiki hadi hichoo.

Mwanaume akupendaye atataka ufike mbali.
Atakufungulia biashara au akutafutie kazi ujikimu.

Mwanaume akupendaye hatokuwa anakukasirikia ukikosea atakusaidia atakurekebisha naatahakikisha hurudii kosa.
Mwanaume anayekupenda lazima akujulie hali.
Atakutafuta kujulia hali .
Hata akikaa muda atakuomba msamaha atajielezea na atakuweka sawa .
Hela nikitu chamwisho kukuzoesha .
Ila kukufanyia mengi ya mbeleni hupo kidete hata penda uishi mwenyewe .
Lazima atakuwa anakulinda atakuja kwenu au kwako .
Lazima ajue kama uko powa what you need and he will help you.

Hayo ndio machache niyajuayo.

Wakati nipo single humu niliteswa niliitwa malaya na nilitoa picha halisi ila watu walichukulia mzaha.
Humu ndani kweli sijapataga mtu serious.

Wote wanakukashifu tu.
Mapenzi hakunaga .

Humu ndani wengi wanaona shida ya mwenzao niyakukashifu nakukutolea mambo machafu kabisa kwa sababu wao wamepiga hatua hawapo kwenye shida huku kunawajuaji.

Intake yangu kama upo serious kweli mtaani wapo , mjini utawapata naniraha unamuona sio mnachart na blank.

Good night all .
Mbunye zotee mtaani hivi Kuna mtu anaumizwa na hayo mapenzi??

#YNWA
 
Back
Top Bottom