Mada za maneno mwizi, mchochezi, fisadi zifundishwe upya mashuleni

Volodimiri Zelensiki

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
997
2,931
Kufuatia mkanganyiko mkubwa wa matumizi ya maneno "Mwizi" Fisadi" Mchochezi" ni vema taasisi ya kiswahili hapa nchini iingilie kati na kubainisha ukweli halisi wa maana za haya maneno.

Hii inatokana na watu wanaopewa haya majina kuwa chama fulani cha siasa au mtazamo fulani wa kiitikadi ilihali hawana haya majina wawapo chama kingine au mlengo mwingine wa kiitikadi.

Mfano kizazi hiki hakitajua tena maana halisi ya haya maneno iwapo watu wenye sifa hizo kutoitwa kwa majina hayo wawapo chama fulani cha siasa hata kama wanakidhi vigezo vya hayo majina.

Inawezekana kabisa tatizo hili lisionekane kwa watu wanaojihusisha na masuala ya kisiasa lakini kwa wale waliopo kwenye taaluma za lugha inaweza kuwaletea mkanganganyiko wa ni wapi hasa maneno haya yanapaswa kutumika badala nani anatakiwa kuitwa majina haya.

Mfano mzuri ni pale Unapomwita Lazaro fisadi muda mfupi baada ya kutangaza kubadili itikadi huku Andrew akiitwa mtemi liicha ya kuthibitika mara kadhaa kuhusika na matukio ya aina jina la Lazaro.

Au mtu kutoka upande ule alioitwa Fisadi na watu walewale waliomwita Asset baada ya kuja upande wao.

Mtaharibu kizazi hiki kwa faida za kisiasa bureeeeeee
 
wizi Tanzania hauna chama, watanzania waliowengi ni wezi ndo maana hata nyumba na maduka mengi yanamageti kwa sababu sehemu kubwa ya watanzania ni wezi na hivyo basi hata sehemu kubwa ya viongozi na watumishi wa umma ni wezi. Ni jamii ya wezi hii ukidosha simu tuu hupati hata siku moja hata kama inchaji na unapiga ni nchi ya vibaka hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom