Mada za kutafuta wachumba zifutwe au zisiruhusiwe

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,470
25,394
Ombi kwa moderator wafutwe nyuzi za kutafuta wachumba humu maana wengi wao wapo kimasihara zaidi na kuchezea akili za watu

Utakuta mtu ni me lakini anajifanya ni ke kutafuta wachumba kwa nia ya kuchezea akili za watu

.
 
Mi nashauri ziendelee kubaki, lakini kila mmoja anatakiwa kuwa makini na PM yake.
Si kila anayekuja PM ni mtu mwema/muovu, msimamo wako ndio utakaokufanya uepukane na usumbufu wa namna hiyo.
 
Poleni kwa yaliyowakuta! Mimi kama kidume niliyekamilika katika Idara zote nikipenda Demu lazima nimuone na nitamlilia mpaka Anikubali,sio humu unaweza Tongoza Zombi Humu...
 
Zibaki tu!!! Ila kila abiria achunge mzigo wake.
Ukijitoa kutafuta mchumba mtandaoni inabidi ujue faida na hasara zake... Yatakayokukuta huko hayatuhusu kabisa. Hamna anaelazimisha kumkubalia anaekuja PM na hamna anaelazimishwa kwenda PM ya mtafutaji.
 
Back
Top Bottom