Mada za BBC na picha zao zina malengo gani?

kissa anyigulile

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
1,550
1,733
Natumia laini ya Voda, mara zote lazima ni Google kuingia kwenye mtandao fulani. Sasa, Mimi binafsi, huwa nakerwa na mtindo huu ambao BBC wameanzisha, nadhani kwa kushirikiana na Vodacom.

Mada iliyohewani hivi sasa ni: "Nilijiuza Kimwili Kukidhi Kiu Yangu ya Mihadarati" imeambatana na picha ya mdada amayejinadi hivyo. Ebu wadau toeni mawazo yenu. Itakaa hapo karibu mwezi mzima.
 
Fanya hivi kurahisha mada yako
Screenshot_20210916-124841_Lite.jpg
 
Sasa hapo vodacom inahusikaje?
Alaf hizi mada ili uzielewe inabidi ufungue hizo link ili kusoma hio habari kwa undani zaidi maana mara nyingi unakuta ni story ya mtu inayo elezea majuto yake kwa kitendo alichokifanya
 
Back
Top Bottom