kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,733
Natumia laini ya Voda, mara zote lazima ni Google kuingia kwenye mtandao fulani. Sasa, Mimi binafsi, huwa nakerwa na mtindo huu ambao BBC wameanzisha, nadhani kwa kushirikiana na Vodacom.
Mada iliyohewani hivi sasa ni: "Nilijiuza Kimwili Kukidhi Kiu Yangu ya Mihadarati" imeambatana na picha ya mdada amayejinadi hivyo. Ebu wadau toeni mawazo yenu. Itakaa hapo karibu mwezi mzima.