Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Dah!!! Mpauko...
Hii ni kweli nishawahi kuwa na mpenzi mwenye hiki kinyama kwa mawazo yangu nilifkr aliwahi lawitiwa akachanwa maisha yake katika mapenzi n kama alivyosema mdau hapo,binafsi nliachana nae kwa kufikiri labda alilawitiwa kitu ambacho sikipendi.!


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaroho ya paka mkuu.
Kuna ukweli 89% niliyekuwa naye alikuwa nacho alikuwa na nyota ya pesa,ila alikuwa ameachana na wanaume kadhaa baadaye hata na mimi mwenyewe tukaachana,niliyenaye Sasa hivi naye anacho na kazalishwa na wanaume watatu nje ya ndoa nikibahatika kutia mimba Mimi nitakuwa mzazi mwenziwe wa nne

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: THT
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote


Mkuu Mshana jr, ni lazima tukuulize, japo umejiwekea ulinzi mapema na kuuliza si ujinga, kuuliza ni kutaka kujua.

Hicho kinyama kitaalamu kinaitwaje??-- je haiwezi kukatwa kwa njia ya operation??

Je, umejuaje kwamba wanawake wenye hilo tatizo wanayo nuksi katika ndoa??

Je hakuna Wanaume wenye hiyo nyama huko mahala??-- kama kipo kwa wanawake tu je ni kwa nini??
 
kwana ni uongo kuwa hiki kinyama kipo kwa wanawake tu,wanaune pia wanacho na kakina uhusiano wowote ule na kufirana.huu ni ugonjwa kama magonjwa mengine yoyote yale na huwa unatibiwa vizuri tu
 
49 Reactions
Reply
Back
Top Bottom