Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Sorry Depal kwa picha yenye ukakasi
Pale pale katikati au
tapatalk_1581702169777~2.jpeg

Jr
 
Mshana jr; Wewe ni mwalimu wetu wa mambo yalee ya giza. Umewahi kutuwekea mapicha ya kutisha ya majini, wachawi, mizuka etc. Iweje leo; somo kuu namna jii ushindwe kutuwekea kapicha kadogo sana ka kujifunzia?? Sio wote tumewahi kukutana na masahibu hayo. Hata mods wanajua kuwa hukuwa na nia mbaya kuiweka hapa. Weka picha tafadhali au tuelekeze mahali pa kuipata na namna ya kuipata. Mabaharia hawahitaji mapicha yako hayo ya kutisha tisha. Anza na mapicha ya mochware ndio ukiweke humo hiccho kipicha chahuu msiba
 
post no #830

Mwanamke akiota hicho kinyama yafuatayo lazima yamkute.
1.ikiwa ana mme ugomvi huingia na wanaweza hata kuachana wanawake wengi wamepatwa na mikosi ya kutodumu na wapenzi kwa ajili ya hili.
2.huathiri sana watoto na ikiwa mama anacho mtoto akiugua sa1 asbh huenda asifike jioni akawa amekufa. Wanawake wengi wamefiwa watoto ghafla sababu ya linyama kama hili.

3.wanaume pia huota na kuzalisha matatizo kadhaa kwa watoto. Pia mwanaume ukiwa nalo utapata homa kali na haitibiki mpaka ulikate hilo.

Kuhusu uhusiano wa kuleta mikosi ni kugongana na maeneo linakoota. Ni maeneo yasiyohitaji uwepo wa kizuizi chochote hivyo kiotapo kule huwa kipo kama ishara ya kuzuia kitu chochote kusiingie kule ili kiwepo tu. Ulimwengu wa jadi una mambo mengi ambayo ukitaka kuyathibitisha ni kazi na hatari pia.

Unapotaka kuingia kwa mtu then akafunga mlango ni ishara ya kukufukuza. Kile kinafunga njia hata ikiwa si yote ila ile ishara tu ina nguvu ktk tamaduni that's why tunakata.
Mkuu Mla PANYA NA Kaka MSHANA naomba ufafanuzi zaidi. Maana mwanamke wangu anacho. Hatuna matatizo ya watoto ila ugomvi kila siku hauishi. Hatuwezi kukaa wiki kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
49 Reactions
Reply
Back
Top Bottom