Mada yenye ukakasi: Majini yanayoishi nasi hapa duniani yenye umbo la kibinadamu (Demons/fallen angels in human form)

Kwa mara ya kwanza ilikuwa Jana ulipoleta uzi humu kuhusu Jack Chacha wa Corner Bar (Ambiance)
Kuwa yeye ni Jini
na Leo hapa unakataa kuwa hauwezi kuwataja!
Kifupi JF umejiunga hata wiki haujamaliza ila nahisi una mambo mengi sana!
Unachokihubiri na unachokitenda ni vitu viwili tofauti sana!
Binafsi nimekujibu tu ila sikutaka hata nikujibu coz ni mtu usiyeishi maneno yako!
Labda basi niamini kuwa wewe mwenyewe ndiye Jini au?
Hizi story za majini umekazana nazo sana Boss kulikoni?
Pole sana mkuu..

Nikufahahamishe tu kuwa mimi si mleta

mada ..soma vizuri usikurupuke ..


Sijajiunga juzi humu na hata hili jina

natumia kwa vile tu nilishindwa kurejesha

lile la mwanzo.nilisahau pass yake!


Hata hivyo nina miaka..mimi nimechangia
hoja tu kama wewe na wengine

mlivyochangia ...

Halafu ni vizuri ukaongelea mada zaidi

kuliko watu..umekwenda chaka mkuu..
 
Sasa wewe si utuambie vizuri wewe na majini wenzio mlivyo ili tuelewe?
Iko hivi mkuu,majini wana ulimwengu wao wa kijini ambao sisi binadamu hatuuoni ila mara moja moja huwa wanaamua kuja katika ulimwengu wetu japo huwezi kuwaona kirahisi wao wanatuona ila kuna muda hujitokeza na kujionesha katika maumbo mbalimbali ya kibinadamu au wanyama kwa muda mfupi na kwa lengo fulani.
Sasa hakuna kitu cha kusema eti jini awe classmate wako au mpangaji mwenzio miaka na miaka uwe unamuona kila siku japo wana uwezo wa kuishi katika nyumba yako ukapishana nao kila siku na usiwaone.
Mimi katika nyumba yangu ninayokaa kuna kipindi walikuwa wananisumbua sana usiku nikilala wanafungua milango lakini nikitoka kucheki sioni mtu na nakuta milango ya vyumbani iko wazi na muda mwingine walikuwa wanatembea juu ya bati usiku unasikia nyayo zinatembea au wanadondosha vitu vizito kama tofali lakini ukitoka nje kucheki hakuna kitu,muda mwingine unasikia bomba la maji limefunguliwa nje maji yanamwagika lakini ukienda nje kucheki ni pakavu hakuna maji yaliyomwagika.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Naam.

Elimu ya dini.

Aam kupitia matukio ya watu na kusoma matukio hayo vitabuni.

Unaposema ni mchezo tu ulitakiwa kumalizia mchezo una chezwa na nani ?

Naweza kuthibitisha ya kuwa hivyo ni vitimbi vya majini kama wanavyo fanya vitimbi hivyo katika ndoto.
Mkuu kama unasema umejifunza hayo kupitia elimu ya dini kajifunze zaidi elimu ni bahari usitosheke na hiyo elimu uliyonayo.
Ingia google uliza maswali mbalimbali ya kuhusu majini utajibiwa na maulamaa mbalimbali wa kimataifa.
 
Conspiracy theories..
Amini unacho amini.. ..

Hugo wa Venezuela ... Alimtaja kwa jina ..mtu kwenye mkutano..

Kwamba hapa naisikia harufu .. ametoka mtu Fulani eneo hili sasa hivi!

Uzuri hukatazwi Wala kulazimishwa ukubali au kuamini...

Dunia Ina mengi.. ..hii...
 
Madikteta wote ni majini ktk umbo la binadamu.
Check hittler alikuwa akibadilika sura
 
Ndoa ya kiroho kati ya mwanadamu na jinni ipo, hivyo unavyosema vitimbi hizo ndizo ishara kuwa uko katika hiyo ndoa.

Ndoa hii haiwezekani katika ulimwengu wa mwili, ila katika ulimwengu wa roho.. sasa ikisha tekelezwa katika ulimwengu wa roho majibu yake yanaweza jitokeza kwenye ulimwengu wa mwili.. hapo ndipo zinapokuja dalili...

Nyingi ya ndoa hizi husababishwa na wao majinni.. lakini baadhi husababishwa na wanadamu wenyewe kwa kufungua MALANGO mbalimbali ndani ya miili yao/nafsi/roho zao.

SULUISHO.
1.Nenda mbele za Mungu Omba Toba kwanza..

2.Damu ya Mwana wa Mungu, hii ndio kiboko ya damu na roho zote chini na hata juu ya mbingu.
Hiyo ndoa inakuwa kama hizi zetu binaadamu kwamba watu wanapendana na kuamua kuwa mke na mume(kufunga ndoa) au hiyo ndoa inakuaje?
 
Hii ni kweli na mimi imenitokea ni muhanga wa hilo.
Kila nikioa ndoa zinavunjika,nikimpa demu ujauzito unaharibika miaka inaenda tu.
Mwanzoni sikujua tatizo ila baadae wakaanza kujitokeza kunipa ishara ndotoni
Hao waliyojitokeza ndotoni ni majini mahaba au?
 
*fahamu kuhusu hawa "shape shifters" wapo, ( ndo mnaowaita majini )

*Fahamu kuhusu lower fourth dimension, ( fifth dimension ) na third dimension.

* Fahamu kuhusu Matrix, density na vibrational frequencies,

*Fahamu kuhusu Anu-nak, reptiles na Illuminati

* Fahamu kuhusu dini, science, history, media, government, banking, mind control programs!

*Fahamu kuhusu chirld abuse, human sacrifices, vampires, greys, greens, Nordics, na wanefil,

* Fahamu kuhusu Pagans, utajua kuhusu imani nyingine zoote,

Ukishafahamu elimu kuhusu nyota, mwezi, jua na sayari zisizofundishwa darasani,

Utaelewa sasa kwamba binadamu hajawai kuishi pekeyake kwenye dunia hii, na ndio kiumbe ambaye anadhirikiana na viumbe visivyomuhitaji kuiharibu dunia yake! Mpaka sasa population ya viumbe vilivyopo duniani inawezekana wanadamu tusifike hata robo, wengi ni viumbe wa ajabu ajabu ambapo ili uwepo kufahamu kwamba wapo kuna njia moja nyepesi tu, cheza na frequencies,

Any way, kaangalie movie zote za matrix, usipoelewa angalia tena, na usipoelewa angalia tena mpaka utakapoelewa kuhusu hizi mambo za illusion..

Maisha ni illusion ya kile tunachofikiria..kila ukionacho kwenye dunia hii kimetokana na Fikra! kisha kikawepo, mfano halisi ni JF, yupo mtu aliwaza kuhusu hii forum, alitengeneza kila kitu kwa fikra before haija exist! Now we are! na hapa ndipo tunakutana na hii kitu

There's no " me" " you" and " I " we're One, you is me, me is you. Only I..
 
Aisee..kwahiyo kina Kim k Nani aliyekua jini Kati ya wale wazazi wao?Mama yao au Baba yao?
 
Kuna swali niliwahi kuuliza humu sikupata majibu kwanini shetani atupwe duniani?,kwanini asitupwe kwenye masayari mengine,je huyo mungu alimtupa duniani shetani ili awataabishe wanadamu
Kabla ya kujibiwa hilo swali jiulize kwanza kati ya shetani na binadamu nan alimkuta mwenzie dunian?
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom