Pole sana mkuu..Kwa mara ya kwanza ilikuwa Jana ulipoleta uzi humu kuhusu Jack Chacha wa Corner Bar (Ambiance)
Kuwa yeye ni Jini
na Leo hapa unakataa kuwa hauwezi kuwataja!
Kifupi JF umejiunga hata wiki haujamaliza ila nahisi una mambo mengi sana!
Unachokihubiri na unachokitenda ni vitu viwili tofauti sana!
Binafsi nimekujibu tu ila sikutaka hata nikujibu coz ni mtu usiyeishi maneno yako!
Labda basi niamini kuwa wewe mwenyewe ndiye Jini au?
Hizi story za majini umekazana nazo sana Boss kulikoni?
Sasa wewe si utuambie vizuri wewe na majini wenzio mlivyo ili tuelewe?Bado huwajui majini kajifunze tena mkuu.
Iko hivi mkuu,majini wana ulimwengu wao wa kijini ambao sisi binadamu hatuuoni ila mara moja moja huwa wanaamua kuja katika ulimwengu wetu japo huwezi kuwaona kirahisi wao wanatuona ila kuna muda hujitokeza na kujionesha katika maumbo mbalimbali ya kibinadamu au wanyama kwa muda mfupi na kwa lengo fulani.Sasa wewe si utuambie vizuri wewe na majini wenzio mlivyo ili tuelewe?
Mkuu kama unasema umejifunza hayo kupitia elimu ya dini kajifunze zaidi elimu ni bahari usitosheke na hiyo elimu uliyonayo.Naam.
Elimu ya dini.
Aam kupitia matukio ya watu na kusoma matukio hayo vitabuni.
Unaposema ni mchezo tu ulitakiwa kumalizia mchezo una chezwa na nani ?
Naweza kuthibitisha ya kuwa hivyo ni vitimbi vya majini kama wanavyo fanya vitimbi hivyo katika ndoto.
🤣Asee... Kumbee...
Mpaka ujue hivyo hayo Kuna gharama zake! Je, umeshazilipa?
La! Acha mihadarati... Utajikuta kitengo ikiwa utaponea chupu chupu au kitaa umepigwa kudu gari limewaka..
Adios!
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Conspiracy theories..Wapo kweli nephilisms..
Ufalme wa Uk...
Bush wa Marekani..
Na wengine wengi tu ...
Shehe hapa kwetu unataka nani atajwe kuwa ni jini?muacheni Bashite ajifiche salama jameniNa Kwa Tanzania je?
Mkuu embu ongezea nyama kidogo kuna vitu unavifahamu
Amini unacho amini.. ..Conspiracy theories..
Hiyo ndoa inakuwa kama hizi zetu binaadamu kwamba watu wanapendana na kuamua kuwa mke na mume(kufunga ndoa) au hiyo ndoa inakuaje?Ndoa ya kiroho kati ya mwanadamu na jinni ipo, hivyo unavyosema vitimbi hizo ndizo ishara kuwa uko katika hiyo ndoa.
Ndoa hii haiwezekani katika ulimwengu wa mwili, ila katika ulimwengu wa roho.. sasa ikisha tekelezwa katika ulimwengu wa roho majibu yake yanaweza jitokeza kwenye ulimwengu wa mwili.. hapo ndipo zinapokuja dalili...
Nyingi ya ndoa hizi husababishwa na wao majinni.. lakini baadhi husababishwa na wanadamu wenyewe kwa kufungua MALANGO mbalimbali ndani ya miili yao/nafsi/roho zao.
SULUISHO.
1.Nenda mbele za Mungu Omba Toba kwanza..
2.Damu ya Mwana wa Mungu, hii ndio kiboko ya damu na roho zote chini na hata juu ya mbingu.
Hao waliyojitokeza ndotoni ni majini mahaba au?Hii ni kweli na mimi imenitokea ni muhanga wa hilo.
Kila nikioa ndoa zinavunjika,nikimpa demu ujauzito unaharibika miaka inaenda tu.
Mwanzoni sikujua tatizo ila baadae wakaanza kujitokeza kunipa ishara ndotoni
Kabla ya kujibiwa hilo swali jiulize kwanza kati ya shetani na binadamu nan alimkuta mwenzie dunian?Kuna swali niliwahi kuuliza humu sikupata majibu kwanini shetani atupwe duniani?,kwanini asitupwe kwenye masayari mengine,je huyo mungu alimtupa duniani shetani ili awataabishe wanadamu