Huyu ni mwana siasa sasa ulitegemea aseme mimi sio kama JPM? huyu alikuwa makamu wa Rais na alipigia kampeni sera za chama kwa kumsaidia JPM vipi aje amkane hadharani? Kweli unataka kuniambia unaamini kauli za mwanasiasa? Hadharani wanasema kingine faragha wanafanya vingine ndio hulka ya wanasiasa.Mama alishasema yeye na JPM ni kitu kimoja, tuendelee kuwa wavumilivu hadi tutakapo pata kitu kingine cha tofauti!.