Mada ya leo star TV: Upi ni uongozi wa umma?

segela

Member
Jun 28, 2013
75
69
Mjadala unaendelea star tv hivi sasa yupo mshiriki anaitwa Kim kiongozi wa UVCCM nyamagana anaonyesha uelewa Mdogo ajabu , Uwezo wake Mdogo sana wa kuona na kuchanganua mambo, UVCCM kama hawa ndio viongozi wa chama basi lazima iko shida tokea chini katika chama tusitegemee jambo jipya toka CCM
 
Uongozi wa umma unahusisha kuteka vituo vya habari, kutunga habari kwa lengo kudhalilisha wengine na kulazimishia zirushwe kwenye redio na tv, pamoja na kutumia vyombo vya habari kujitangaza mwenyewe kwa kuandaa na kuedit habar zinazokuhusu ili ziwe vile utakavyo.

Haya ni maoni yangu
 
Back
Top Bottom