Masantulaa
New Member
- Feb 9, 2019
- 2
- 0
Write your reply...Sisi wageni tunacoment wapi jmn
Hao ni wa ushuani,ila kwa uswazi mtoto miaka 2 anaimba kanyaga ya mondi na kucheza juu,Mtoto wa mwaka mmoja huanza kuwa na sauti, ataita bila majina lakini utaelewa anaita.
Miaka miwili anaonge neno moja mfano mama, Pipi, mma nk
Miaka 2.5 anaanza kuunganisha maneno kama baba pipi,
Miaka mitatu anaongea sentensi nzima.
😂😂😂😂Hao ni wa ushuani,ila kwa uswazi mtoto miaka 2 anaimba kanyaga ya mondi na kucheza juu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka miwili mtoto anaongea vizuri sanaMtoto wa mwaka mmoja huanza kuwa na sauti, ataita bila majina lakini utaelewa anaita.
Miaka miwili anaonge neno moja mfano mama, Pipi, mma nk
Miaka 2.5 anaanza kuunganisha maneno kama baba pipi,
Miaka mitatu anaongea sentensi nzima.
Mbona uzi hauna feedback
bado kwa upande wangu
Mbona uzi hauna feedback
bado kwa upande wangu