mada na wanachoongea watangazaji na walioalikwa kipicha tuongee asubui ni tofauti kabisa

gogo la shamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
6,670
2,165
wanachoongea watangazaji na hao walioalikwa kwenye kipindi cha tuongee asubuhi leo tarehe 8/10/2017 ni tofauti kabisa kinachofanyika hapo ni full kujipendekeza kwa Makufuli eti kutolea mfano kama ndio kiongozi mzuri sasa ina maana hakuna wanaomlaumu? na je?wanamsifu yeye kulinganisha na ubaya wa nani? na huyo aliyekuwa mbaya walimuambia? na je? Makufuli ana sera zake mbali na sera za chama kilekile?
 
Back
Top Bottom