Yeye ndiyo alikua kabeba Mikoba yote ya CDM! Nazani atukua bado anauchovu wa Uchaguzi!!Kwani aliahidiwa uwaziri?
Thanks brother
Upo vizuri mkuu japo umepote jamii intelThanks brother
Thanks brother. Nimeandika makala nyingi saaaaana kule "Intelligence" nimeona sasa bora tu nipumzike mkuu. Enough is enough upande wa makala.Upo vizuri mkuu japo umepote jamii intel
Kumbe nae anatabia za Wajumbe!?Yule sio kwamba hata wabunge wa sisiem aliwasaidia kwenye game kweli? Maana ile kazi maslahi tu
Kilanga ni kumsoma kwa ustaarabu na kutafuta uelewa. Dini in real ukizifuatilia kwa maswali huru utagundua Kuna mengi hayapo sawaKiranga atawapoteza wengi sana hasa wenye majina ya dini ila hawajui undani wa dini zao
ataondoka na wengi
Thanks too brotherMakala zako kwa wapenda ufahamu Zina mambo mazuri ya kujifunza. Thanks ndugu
inategemea dini gani maana zipo nyingi..Kilanga ni kumsoma kwa ustaarabu na kutafuta uelewa. Dini in real ukizifuatilia kwa maswali huru utagundua Kuna mengi hayapo sawa
we have many devils too.....ila vinjia njia ni vingi lakini highway ni moja tu..Shaona Sasa! Dini nazo zipo nyingi, na wingi wa Dini unatia shaka.
We have many G(gods)ods but single Devil, why this?
Kazidiwa 'Maarifa' na 'Mchawi' Mwenzie na sasa anauguza 'Majeraha' taratibu.Mshana Jr Yuko wapi nowadays??