Mada na Wanachama waliobadili maisha yangu toka JamiiForums

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
7,312
10,492
Habari!

Tangu nijiunge JF, nimekuwa na mabadiliko kadhaa kitabia na kimtazamo. Wafuatao ni wachache walonibadili;
1. Mshana
Mada zake za kimaendeleo zimenijenga Sana. Kuna Kama mada ya Magari, aisee I changed and gave me confidence ya kuendesha magari plus life in cars!

2. Da Vinci na Humble Africa
Mada fikirishi na kufikiria katika hazina ya vitabuni and in movies!

3. Pasco
The guy is genous hasa kabla hajabadili jina. Mada kama ile ya Elimu ya Pysch power, asee ilinifungua brain Sana.

4. Sirjeff aka Ontario
Pamoja na challenges za Forex, huyu jamaa ni mzuri Sana kwenye convincing power. Mada zake zinaongeza radha kubwa Sana ktk maisha. Zina hamasa ya kusaka mihela kwa bidii. Thanks dogo!

5. KLM-Kubwa la Maaadui
Mmama wa mistori enzi izo, sijui kaenda wapi dada angu huyu. She coloured my weekends!

6. The Bold-Habib Anga
Jamaa najua asee. Mie ni mlevi wa movies za kibabe na za kutumia akili like 24 hrs, Homeland, Breaking Bad, Prison Break n.k, so nimesoma mada zote za huyu mdogo wangu. Thanks man!

7. Makilita
This man alinihamasisha mpka nikaweza kusoma zaidi ya vitabu 100 in a year! Asante Kocha

8. Kiranga

This guy is good. Mwanzoni sikumpenda but after kumsoma vzr nilijikuta nampenda bure. Alinifanya kufikiria vzr kuhusu Dini na uongo/ufiche tunaodanganywa kwenye Dini zetu. Siku hizi watu wa Dini hawanisumbui. Dini Kuna vurugu mingi zinazoishia kutugawa, kutupumbaza na kutudunisha kifikra. Dini zinatuzuia kufikiri sawa sawa hasa tukiziendekeza!

Wapo na wengine, ongezea mpendwa.....JF for life. We get great issues to make us better!
 
Back
Top Bottom