Mada na Wanachama waliobadili maisha yangu toka JamiiForums

run CMD

JF-Expert Member
May 31, 2015
2,113
2,000
Kweli JF ni msitu wa maarifa..
lakin tusipuuze pia vitu tunavyosoma vinatuathiri kwa njia nzuri au mbaya ..Ikumbukwe kwamba lazima lazima tuchuje kile tunachoingiza akilini kwa kweli mtu wenye nguvu za kufikiri sawasawa hauwezi kula chakula chenye sumu eti kwa sababu tu kinavutia au kina harufu nzuri hivyo tunapokula chakula hatuwezi kuzuia kumeng'enywa tumboni hilo ni sawa na akili yetu..
Hilo swala la dini hapo nakataa kabisa.
kiranga hoja zake anajenga kwenye distructive ideas yaani kuonyesha tatizo bila kutatua tatizo na siyo basic ideas ikumbukwe vizuri kabisa kuwa ni kweli kuna dhana nyingi zisizo za kweli zinafundishwa kwenye dini lakini ukweli ni kwamba kuna UKWELI na lazima utumie jitihada kuupata.mfano dini nyingi zinasema
kifo ni mapenzi ya Mungu!
Mungu amepanga kila kitu kinachotokea sasa!
Eti Mungu anatesa watu kwenye moto wa mateso!
Mungu ndio anatawala dunia!
kwa kweli yote hayo hapo juu ni uongo na inafaa tuupinge kwa nguvu zote bila shaka wewe kuna mambo fulani ulikuwa haujaelewi zamani lakini leo unajajua vizuri na ulishangaa kuona kumbe ndio hivi.. kuna sikupia utasangaa kwanini sikujua hivi mapema!
 
Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
6,642

Kilanga dawa yake ndogo! Msome in positive way! Dini ni nzuri Ila haimaanishi kuwa haina ubaya! Wengi wanaishia kutishika na kuogopa mafundisho ya Dini zao. But all in all kila mtu achague maarifa kwa busara
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
182,473
2,000
Habari!

Tangu nijiunge JF, nimekuwa na mabadiliko kadhaa kitabia na kimtazamo. Wafuatao ni wachache walonibadili;
1. Mshana
Mada zake za kimaendeleo zimenijenga Sana. Kuna Kama mada ya Magari, aisee I changed and gave me confidence ya kuendesha magari plus life in cars!

2. Da Vinci na Humble Africa
Mada fikirishi na kufikiria katika hazina ya vitabuni and in movies!

3. Pasco
The guy is genous hasa kabla hajabadili jina. Mada kama ile ya Elimu ya Pysch power, asee ilinifungua brain Sana.

4. Sirjeff aka Ontario
Pamoja na challenges za Forex, huyu jamaa ni mzuri Sana kwenye convincing power. Mada zake zinaongeza radha kubwa Sana ktk maisha. Zina hamasa ya kusaka mihela kwa bidii. Thanks dogo!

5. KLM-Kubwa la Maaadui
Mmama wa mistori enzi izo, sijui kaenda wapi dada angu huyu. She coloured my weekends!

6. The Bold-Habib Anga
Jamaa najua asee. Mie ni mlevi wa movies za kibabe na za kutumia akili like 24 hrs, Homeland, Breaking Bad, Prison Break n.k, so nimesoma mada zote za huyu mdogo wangu. Thanks man!

7. Makilita
This man alinihamasisha mpka nikaweza kusoma zaidi ya vitabu 100 in a year! Asante Kocha

8. Kiranga

This guy is good. Mwanzoni sikumpenda but after kumsoma vzr nilijikuta nampenda bure. Alinifanya kufikiria vzr kuhusu Dini na uongo/ufiche tunaodanganywa kwenye Dini zetu. Siku hizi watu wa Dini hawanisumbui. Dini Kuna vurugu mingi zinazoishia kutugawa, kutupumbaza na kutudunisha kifikra. Dini zinatuzuia kufikiri sawa sawa hasa tukiziendekeza!

Wapo na wengine, ongezea mpendwa.....JF for life. We get great issues to make us better!
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
9,694

Hongereni sana kwa member tajwa na mdau
 
MarkHilary

JF-Expert Member
Feb 8, 2015
1,545
2,000
Mshana Jr ndiye mtu ninayemheshimu zaidi hapa JF. Mnakasha Psychic Powers ulioanzishwa na Pasco ndio namba moja kwangu. Mwandishi wangu bora wa masimulizi ni Habibu Anga alias The Bold! Mtu wa hovyo zaidi kwangu ni Kisandu!
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
182,473
2,000
Mshana Jr ndiye mtu ninayemheshimu zaidi hapa JF. Mnakasha Psychic Powers ulioanzishwa na Pasco ndio namba moja kwangu. Mwandishi wangu bora wa masimulizi ni Habibu Anga alias The Bold! Mtu wa hovyo zaidi kwangu ni Kisandu!
na po kea kwa moyo wa unyenyekevu
 
Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
9,694
2,000
Mshana Jr ndiye mtu ninayemheshimu zaidi hapa JF. Mnakasha Psychic Powers ulioanzishwa na Pasco ndio namba moja kwangu. Mwandishi wangu bora wa masimulizi ni Habibu Anga alias The Bold! Mtu wa hovyo zaidi kwangu ni Kisandu!
Una bifu na msaani mkubwa kuwahi kutokea hapa JF @dj don nalimison
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom