Mada Moto: Polepole live Channel 10

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,681
149,882
Huyu bwana ndie mgeni katika studio za Channel 10 katika kipindi cha Mada Moto cha siku ya leo.

Mada:Mwaka mmoja wa Raisi Magufuli

Pia wanakusudia kuongelea miaka 40 ya CCM

Nikiri tu baada ya kumuona huyo mh.na mada hiyo hamu yote ya kutaka kujua leo kutakuwa na mada gani na nani atakuwa mgeni katika kipindi cha leo imeenisha hivyo msiniulize kuhusu update zozote.
 
Hatuna muda wa kumuangalia polepole kwani tunapigania kupata kitumbua cha kesho
 
Hatuna muda wa kumuangalia polepole kwani tunapigania kupata kitumbua cha kesho
Anatetea uvunjaji wa katiba kuhusu haki ya vyama vya siasa kufanya mikutano alafu ni mtu huyu huyu ndio alikuwa kinara wa kutetea katiba mpya.

Ni kero kumsikiliza.
 
Jamani tupeni updates basi mbona kimya...angekuwa anahojiwa Lissu hii thread sasa hivi ingekuwa page ya 40
 
Kapotea mbaya DOGO, kumbe yooote njaa tu, kapewa uji basi kasahau kelele zooote. Ni shidah
 
Kipindi ni cha muda wa saa moja nimefatilia maelezo nione watu watakavyochangia wamepata nafasi watu watatu tu nimechoka
 
Huyu bwana ndie mgeni katika studio za Channel 10 katika kipindi cha Mada Moto cha siku ya leo.

Mada:Mwaka mmoja wa Raisi Magufuli

Pia wanakusudia kuongelea miaka 40 ya CCM

Nikiri tu baada ya kumuona huyo mh.na mada hiyo hamu yote ya kutaka kujua leo kutakuwa na mada gani na nani atakuwa mgeni katika kipindi cha leo imeenisha hivyo msiniulize kuhusu update zozote.
Who is Polepole after all, lumpeni kama lumpeni wengine!
 
Nilimuona alivyokuwa anapotosha kuhusu idadi ya wabunge rais aliochagua. Anasema rais ameteua wabunge saba mpaka sasa, yaani 5 wanaume na 2 wanawake. Amerudia kama mara 2 kwakuwa hakukuwa na wa kumuhoji na mtangazaji akawa anamuacha. Akasisitiza vyama vingine visivyo ccm vinaruhusiwa kukosoa, kusimamia serekali na akasisitiza vinapokosoa vitoe na njia mbadala ili kujenga. Amesema sasa ni muda wa siasa za maendeleo kwani umechaguzi umekwisha, na ikifika wakati wa uchaguzi ndio tufanye siasa za madaraka. Allitumia nafasi hiyo kuomba msamaha umma wa watanzania wote kwa makosa yaliyofanywa na ccm. Pia amezungumza kuhusu mabadiliko makubwa ya uongozi na kimfumo ya ccm. Hapa alitoa ufafanuzi mzuri. Kuhusu katiba mpya alisema ccm ni wasikivu hivyo watawasikiliza wananchi. Kwa mtazamo wangu huenda Mh. Palamagamba Kabudi kapewa nafasi kwa ajili ya mchakato huo.

Kwa ujumla alingumza kiungwana na inaoneka ameamua yeye ama wao kuachana na siasa za majitaka. Je ni kweli chama chake kitabadika kama alivyojinasibu ni suala muda.
 
Back
Top Bottom