Mada Moto:Msigwa live Channel 10

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,983
Mada:Wajibu wa viongozi wa dini kwa jamii.

Kipindi ndi kinaanza.

Kwa mnaopenda kufuatilia msikilizeni.

Mtangaziji kaamuliza ilikuwaje ukakaa karibu na Naibu Sipika wakati wa kupiga picha?

Jibu lake:Ni kwasababu Raisi alisema mimi ni mfupi basi akanitaka nikae mbele na Raisi siwezi kumpinga.Kasema Raisi ndie alimtaka asimame pale anapoonekana kasimama kwenye ile picha.
 
Safi sana Msigwa kwa kupokea madawati ingawa hukuchangia hata mia
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom