Snipper
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,336
- 2,157
Leo kuanzia saa 2.30 usiku katika Ukumbi wa Kissenga Millenium Towers kutakuwa na mdahalo moto ulioandaliwa na Mwananchi Communications na wadau wengine wa Mazingira. Mdahalo huo wa wazi utarushwa moja kwa moja kupitia ITV, Radio One na Mwananchi Online. Waziri wa Mazingira Mh. January Makamba atakuwepo. Pia watakuwepo nguli wa masuala ya Mkaa, Uchumi na Mazingira. Wote mnakaribishwa maana hakuna kiingilio.