Mada moto channel 10: Nani ni raia wa Tanzania?

huyu mzee anaongea hadi mishipa inamtoka,anatumia nguvu nyingi sana kujenga hoja zake,atakuwa jipu huyu,eti kigoma sio sehemu ya tz,anagongwa kweli huyu mzee
 
huyu mzee anaongea hadi mishipa inamtoka,anatumia nguvu nyingi sana kujenga hoja zake,atakuwa jipu huyu,eti kigoma sio sehemu ya tz,anagongwa kweli huyu mzee
Ha ha ha! Tulia mkuu. Zaidi ya asilimia 60 ya wakazi wa Kigoma wana bloodline za Congo na Burundi.
 
Dah huyo Mzee anaongea kweli point za msingi namkumbuka kipindi cha campaign.
 
Mkuu nilikuwa naangalia Chanel ten kuhusu jambo la uraia Wa Tanzania bwana renatus mkinga ameongea mambo mengi kuhusu jambo hili ambolo ni muhimu katika nchi yetu linabidi lifanyiwe Kazi vingine tunaelekea kutawaliwa na wageni asante sana bwana mkinga
 
huyu mzee anaongea hadi mishipa inamtoka,anatumia nguvu nyingi sana kujenga hoja zake,atakuwa jipu huyu,eti kigoma sio sehemu ya tz,anagongwa kweli huyu mzee
Kasema kigoma ilikua siyo sehemu ya Tanzania mwenye kutaka kujua vizuri historia ya kigoma akamuulize

zito kabwe.
 
kwa zama hizi, ilipaswa asubuhi hiyo kitu unaikuta youtube. Ili kuweka kumbukumbu na sisi tusioona tufaidi
 
Back
Top Bottom