MADA MOTO 19/06/2017: Humphrey Polepole akielezea sakata la makinikia

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,504
28,695
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndg.Humphrey polepole yupo mubashara CHANNEL 10 akielezea mada ya SAKATA LA MAKINIKIA
 
Polepole yupo vzr sana, hata mashinji hamfikii polepole

Jamaa ni smart sana
 
Sikilizeni upumbavu wenu peke yenu sisi werevu tunalala, usiku mwema..!
Nawa miguu kabla hujapanda kitandani. Hayo makanikia (vumbi) uliyokusanya Kariakoo siku nzima hayatakuacha salama na ndoto za kumuota Mshana JR anakufuata mwende Coco beach saa tisa usiku.
 
Huyo jamaa ni msaliti wa kauli zake
Aliponda nafasi ya ukuu wa wilaya alipopewa akaichukua,kumbe alidhani hawezi pata hiyo fursa hata siku moja

Hafaiiiiiiiiiii anandimi mbili
 
Polepole ni kajinga sana na sasa kamelewa madaraka kamekuwa karopokaji hovyo hovyo hakana ustarabu hata nukta.
 
Back
Top Bottom