Mada maalumu ya wanaotumia vinywaji laini na sio pombe

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,671
40,913
Baada ya walevi kuamua kuwa na uzi wao maalum sasa ni nafasi muafaka kabisa kwa wale wasio tumia vilevi, isipokua vinywaji laini laini tu kama maji, juice, chai na hata bila kuwatenga wale wanaotumia wine tu.

Karibuni jamani, tupeane kampani hapa.
 
Kwahiyo ukiwa mtu wa viwanja lazima unywe pombe?

Na nini kinakufanya uhisi mi mtu wa viwanja?
Hapana si lazima viwanja viandane na pombe ila asilimia ndogo sana, kama siyo 2.99 basi ni 3 tu

Ni comment yako ya kwenye thread ya magari ilifanya nihisi hivyo kuwa ni mtu wa kutoka sana.......but sorry if I'm wrong mkuu
 
Back
Top Bottom