Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.

Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa

. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina

Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo. Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi. Zile za ofa na hata za kwenye sherehe.

Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza.

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE!
Kuna muda huwa nawaza na kujiuliza ila sijawaigi pataga majibu.....
Ivi sisi tunao kunywaga pombe na hatupotezi Utaratibu Hivi Huwa hatuna dhambi.....Je kunywa pombe ni dhambi?

Binafsi mimi naamin kunywa pombe sio dhambi........
 
Huyu naye vepe!kajibiwa vema lakini
IMG-20211013-WA0098.jpg
 
Daaaaaaah haya mapomb3 bwana

Wseee wadau mpaka sasa niko ndani ya chumba ila nyumba na mtaa wala eneo sipajui
Cha kushangaza niko uchi, na mwanamke lakini mpka sasa kila nikivuta kumbukumbu sikumbuki nilimuona wapi.

Nimejaribu kugusa mlango umefungwa na funguo sizioni

Nimetafuta viashiria vya uwepo wa mwanaume kwa huyu mwanamke sioni hata malapa wala boksa.

Habari njema tuu nimeiona nusu ya k-vanga kwenye meza yake. Inabidi nilifakamie sasa hivi kabla hajaamka asije nikuta niko mzima aseee.
 
Hahaha pole na hongera mdau kwa kusalimika
 
Back
Top Bottom