Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mzigo ulioshiba huo
JamiiForums1544989803.jpg
 
Kuna jamaaa zangu walishageuza pombe maji ya kunywa.asubuhi tu saa kumi na moja washatia mguu kwa mama muuza ubandani wanamgongea mlango hata kama kalala ili watoe lock.wanakuambia bila kutoa pass word kazi haifanyiki
 
Back
Top Bottom