Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hapa...
IMG_20190723_224057.jpeg
IMG_20190723_224046.jpeg
IMG_20190723_224101.jpeg
 
kuna kawimbo flan hivi kapiga Gadna kwenye Jahaz jion ya leo kanasema " .... i love beer..." mwenye alienako akaweke hapa kama kamenivutia kwa ijumaa ya leo kabla sijaenda kumchek Algeria akifa.
in heaven there is no beer that's why we're drinking here ......
 
Marafiki zako wa Ulevini Ulelewa Ulevini na hao mara nyingi ndio marafiki wa kweli ambao wanaweza kesha na wewe Central kama Nje ya Central kuna bar

Marafiki hawa wa ulevi wanaweza kesha Mochwari kwa sababu pale nje ya Hospital kuna Bar

Marafiki hawa huweza kesha kwenye msiba wako kwa sababu pale pembeni kuna Bar

Hakuna rafiki mwenye kuheshimu thamani ya Urafiki wenu kama mtu mnayekunywa naye pombe

Kama ukimpoteza rafiki mnayekunywa naye Pombe kurudi urafiki wenu ni ngumu sana Maana mara nyingi yeye siyo mnafiki

Rafiki huyu mara nyingi huwa mkweli mwepesi kujua kosa na kuomba samahani hana majivuno na Ukimtaka muda wowote atakuja

Usimdharau rafiki wa Pombe kwa sababu zozote ambazo hazina msingi na wala usikate urafiki na rafiki yako Mnywaji utakuwa umekosea for the Maximum

Rafiki huyu ni mkweli muwazi ila akificha jambo akiwa mzima atakwambia akiwa amelewa huyu ndio rafiki wa kweli kwako

USHAURI

Mtu asikudanganye kuachana na rafiki zako wanywaji maana anakuchonganisha na watu muhimu sana kwako

#Mdomo wenye furaha ni ule wenye pombe
 
asante mkuu kwa hii fact....kuna rafiki yangu wa kwenye pombe na maisha ya kila siku.amenikosea ila kwa hii post ngoja nimvumilie namcall muda huu huu tuveshe wote...maana nilimblock kote!
 
Back
Top Bottom