Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
jirani kwema!?hii chimbo wapi hii
Jumamosi murua View attachment 1128550
Jumamosi murua View attachment 1128550
safi hiiView attachment 1128775tips lounge
Ilikuwa Orlando Clubjirani kwema!?hii chimbo wapi hii
ohoo leo ntakuwepo kwenye mbege paleIlikuwa Orlando Club
Mambo ndio hivyo!View attachment 1128543
Imenichukua dakika mbili mpaka kuja kutazama kinywaji kilichopo mezani
Wakuu jana nilivamiwa na vibaka sema nlijitahid kutoka salama japo nilikuwa nimepiga maji
Pole mzee baba ila nawakika ungekua ujapiga vitu leo ungeamkia hospitalWakuu jana nilivamiwa na vibaka sema nlijitahid kutoka salama japo nilikuwa nimepiga maji
pole mkuuWakuu jana nilivamiwa na vibaka sema nlijitahid kutoka salama japo nilikuwa nimepiga maji
Niko salama kabisa mkuu sijui ata nilitokaje pale mkuuDaah pole sana mkuu, natumai uko salama kabisa
Naisi mkuu majamaa walikua na kisu afu ni uchoroniPole mzee baba ila nawakika ungekua ujapiga vitu leo ungeamkia hospital
Mbeya MwenyekitDuu pole sana wapi iyo
Asante mkuupole mkuu