FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 7,627
- 9,321
Ayo makopo ya tomato au?
Ayo makopo ya tomato au?
Unavidole kama vyanguSehemu fulani DodomaView attachment 1103338
Nimeipiga mwenyewe... ... Ukiiona mahali jua yanguView attachment 1126744
umateumate uwo nduguNimeshindwa kabisa kuacha spiritView attachment 1126766
Daaah shingo itapindaNimeipiga mwenyewe... ... Ukiiona mahali jua yanguView attachment 1126744
Sure mkuu kuna mdada alinipendea vidole nilishangaaa sana
mganga hajawahi shindwa
yule mangi mlemavu?? Au yule wa pale mount livingstone wa mbuzi??Shukrani
Jioni jioni nitapita pembeni ya Uwanja wa Sokoine. Kuna chakula flani kuna Mangi anapika!!!
Mwanamke anaweza kupenda ..... harufu ya kwapa lako!!....viumbe wa ajabu sana hao usishangae.....Sure mkuu kuna mdada alinipendea vidole nilishangaaa sana
Ohoo leo tena!!!....unatutafuta ubaya mkuu...kuna vitu havivumiliki ujue!?.. karibuniView attachment 1126868
Walionipenda wengi wao walinipedea uukorofiMwanamke anaweza kupenda ..... harufu ya kwapa lako!!....viumbe wa ajabu sana hao usishangae.....
Imebidi nimkumbuke marehemu Ngweah na wimbo wake mitungi, misosi, mikasiii hususan pale anapoimbaNimeipiga mwenyewe... ... Ukiiona mahali jua yanguView attachment 1126744