Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hahahhahaha ww mzee bwana umeshaanza kusita unajua naweza kula nauli yako acha niile tu hata nisipokuja kwani kitu gani kama umebet tu
Hahaaa. Mtoto yellow yellow una mambo...nilitaka kushangaa. Na uzuri wako ukanyage vumbi Mbeya labda kidooogo ingekuwa Ushoto au Koogwe
 
Nimeipiga mwenyewe... ... Ukiiona mahali jua yangu
IMG-20190613-WA0144.jpeg
 
Back
Top Bottom