Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,535
Kitu cha mbege hikoTutake radhi wachaga. Kitu kinaitwa mbege
Kitu cha mbege hikoTutake radhi wachaga. Kitu kinaitwa mbege
Nitumie nauli we mzee nikuje ulipoNimeingia Mbeya.
Karibu City boys pub
Cc@platozoomNitumie nauli we mzee nikuje ulipo
Mpaka moyo umepata raha kama umemwagiwa asali ila mmh, utakuja?Nitumie nauli we mzee nikuje ulipo
Braza bahati hizi.Cc@platozoom
Hahahaha, lazima niwe mpole ,Fanya yako brazaBraza bahati hizi.
Kuwa mpole
Hahahhahaha ww mzee bwana umeshaanza kusita unajua naweza kula nauli yako acha niile tu hata nisipokuja kwani kitu gani kama umebet tuMpaka moyo umepata raha kama umemwagiwa asali ila mmh, utakuja?
Najua wewe Mtoto wa Cape town fish market au Tripple seven. Nisubiri Dar next week
Hahaaa. Mtoto yellow yellow una mambo...nilitaka kushangaa. Na uzuri wako ukanyage vumbi Mbeya labda kidooogo ingekuwa Ushoto au KoogweHahahhahaha ww mzee bwana umeshaanza kusita unajua naweza kula nauli yako acha niile tu hata nisipokuja kwani kitu gani kama umebet tu
HahahahaHahaaa. Mtoto yellow yellow una mambo...nilitaka kushangaa. Na uzuri wako ukanyage vumbi Mbeya labda kidooogo ingekuwa Ushoto au Koogwe
Russia iliwachukua muda sana kuitambua "beer" kama kilevi.Bia aina zote ni soft drinks
Nafikiri wakipewa Serengeti lite wanaweza kunywea panadol!Russia iliwachukua muda sana kuitambua "beer" kama kilevi.
Hahahaha, ile sio pombeNafikiri wakipewa Serengeti lite wanaweza kunywea panadol!
Mbona nimeona kwenye watsap groups....ni ww kweli?Nimeipiga mwenyewe... ... Ukiiona mahali jua yanguView attachment 1126744
Nilifanya party kabisa ya kuacha kunywa spirt iyo sigusi hata unilipeUmeme umekataaaView attachment 1099530
Castle lite unlockMm nainza weekend namna hii.View attachment 1100514
Hauna demu hapoVibaya sana,
ARVS?Msosi tu lazima uwe wa kutosha.
Me nina mapumziko kidogo natumia vidonge.