Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 10,124
- 19,718
sawa mkuu,,SI unajua sisi ndo tunaongoza kuchangia Kodi kwenye hi nchiDaaaa nilikua sina mpango wa kunywa ila nimeona nyagi hapo..ngoja nitoke nikapige moko
sawa mkuu,,SI unajua sisi ndo tunaongoza kuchangia Kodi kwenye hi nchiDaaaa nilikua sina mpango wa kunywa ila nimeona nyagi hapo..ngoja nitoke nikapige moko
Asante,,ngoja iyo habari ya TBC Apo ishe
Hahahaha, nakuja fasta Rafiki
Asante,,ngoja iyo habari ya TBC Apo ishe
Hahahaha, nakuja fasta Rafiki
Rafiki nafika muda si mrefu niwekee kadhaa hapoRafiki hujafika tu
Zipo za kutosha njoo na mfuko wa kubebeaRafiki nafika muda si mrefu niwekee kadhaa hapo
NakujaZipo za kutosha njoo na mfuko wa kubebea
leo budget, ngoja tuone kama bei itapandaKwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....
CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Nimeingia Mbeya.We mzee umeniita hivi uko wapi nije nikuchune bado upo kwa mswati
Nilikua hapo juzi,now niko Dar nimemleta Felix kesho jioni nasepaNimeingia Mbeya.
Karibu City boys pub
Patamu sana hapo!Nilikua hapo juzi,now niko Dar nimemleta Felix kesho jioni nasepa
Karibu Mbeya mdauPatamu sana hapo!
ShukraniKaribu Mbeya mdau
Hapo nalewa dabodaboZa nyumbaniView attachment 1119851