Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,240
- 88,154
Tutakua bar mzee mwenzetuNyie wazee naweza kutua dar kwa masaa 72 tu ,mtakua wapi?
Tutakua bar mzee mwenzetuNyie wazee naweza kutua dar kwa masaa 72 tu ,mtakua wapi?
Mzigua....sasa unataka utuchanganye....tushindwe kufikiria sawa sawa....
Sijajua jina. Ni barabarani kabisa wanauza kitimotobismark au
Hahahaha, location mapemaTutakua bar mzee mwenzetu
Mkuu hilo paja lako...lina mvuto hatari...Kwanini sasa mkuu??
Karaoke 777 leoHahahaha, location mapema
Aya mataputapu,,,Ni nini
AseeZa nyumbaniView attachment 1119851
Ujinga gani huu,,,hua na mdharau Sana mtumiaji wa matakataka kama haya
okei..nitapatafuta paka nipajueSijajua jina. Ni barabarani kabisa wanauza kitimoto
Ooh.. poleeMkuu hilo paja lako...lina mvuto hatari...
Tutake radhi wachaga. Kitu kinaitwa mbegeAya mataputapu,,,Ni nini
Aaaah,,sikufahamu "ok Riya maye/sar"Tutake radhi wachaga. Kitu kinaitwa mbege
Umeshatoka mikocheniOoh.. polee
Daaaa nilikua sina mpango wa kunywa ila nimeona nyagi hapo..ngoja nitoke nikapige mokoShuhuli inanza kujiwe ni kileleView attachment 1125735