Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nimekusamehe ila ww hujakutana na mbege yenyewe bana maana usingeongea hivyo:siku ukija arusha au moshi nitafute weekend nikupeleke kwenye mbege sio hiyo unayozungumzia ww ya dar inayotengenezwa kimagumashi.

Sent using Jamii Forums mobile app


😂😂😂nilifika moshi bwana...jion nafanya evening walk wakaja wakaka hao wanaopandisha watu vileleni😊..wakanialika kwenye hyo mbege..nikakataa weee wakasema njoo uonje dada😂😂.machicha tupu..yanasmell kimea au jasho jasho hv tu yaan...wanavyoisifia jaman..walinipa faida km 20 hv za mbege😂😂😂...hapana aisee...👐👐👐
 
Walikupa ile mbege ya mwisho mwisho(machicha) mbege sisi tunawekaga oda unawekewa ile ya kwanza kwanza tunaita special one ukinywa hutojutia na ukichnganyia huko kvant au bombadia ndio ndio kabisaa utaanza kuongea kichaga hata kama hukijui
nilifika moshi bwana...jion nafanya evening walk wakaja wakaka hao wanaopandisha watu vileleni..wakanialika kwenye hyo mbege..nikakataa weee wakasema njoo uonje dada.machicha tupu..yanasmell kimea au jasho jasho hv tu yaan...wanavyoisifia jaman..walinipa faida km 20 hv za mbege...hapana aisee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walikupa ile mbege ya mwisho mwisho(machicha) mbege sisi tunawekaga oda unawekewa ile ya kwanza kwanza tunaita special one ukinywa hutojutia na ukichnganyia huko kvant au bombadia ndio ndio kabisaa utaanza kuongea kichaga hata kama hukijui

Sent using Jamii Forums mobile app


😂😂😂ila harufu inahitaji wito bwana..acha nijinyeee savana na redds mkuu
 
Mtaani Peru leo
IMG_20190211_180619.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom