Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ndugu wajumbe hongereni kwa kuendelea kuchangia pato ili wanunue mindege yao mie nilikata Moto leo kuanzia kumi na moja jioni nimezinduka saa tano usiku, kisa kvant leo zimeniweza ila nikasema sikomi nimerudi kiwanja hapa sunset naendelea kulipa mikodi tu.
IMG_20190112_011720.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom