mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,803
- 105,956
Mm bdo 5 kamili nachomokaNimeshapaki wadau kesho panapo majaliwa.
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm bdo 5 kamili nachomokaNimeshapaki wadau kesho panapo majaliwa.
Mbona mm nakupenda tu jamanii mzee wa Swaziland bila hata kizizi nakuona kwa chupaHahaaa...Wakati naitwa Mzee.
Nitamwambia mtuchake anitumie kizizi kutoka Congo, ukinywa heinken unaniona kwenye chupa huku unarembua!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Father Kumbe ni ww, Muguu umeongeaTulikuwaaa tunapigaaaa tungi muda sana
Kwa jamaa yangu mmja watu walizama wakakomba Tv inch 50 Sony
Ila Tv tumeipata na mwizi hyo alichofanyiwa anajuaaa mwenyewe
Tumerudi tunaendleaaa na gambe
Ova
View attachment 974663
Dah!! Yaani mpaka mapigo yangu ya moyo yameongeza kasi. Kijasho chembambaa...Mtoto wa Kitanga umeniweza, hapo umeandika, ningesikia unaongea sasa hivi ningekuwa kwenye ambulance. Hapa bia zinashuka burdaaani!!Mbona mm nakupenda tu jamanii mzee wa Swaziland bila hata kizizi nakuona kwa chupa
Dah!! Yaani mpaka mapigo yangu ya moyo yameongeza kasi. Kijasho chembambaa...Mtoto wa Kitanga umeniweza, hapo umeandika, ningesikia unaongea sasa hivi ningekuwa kwenye ambulance. Hapa bia zinashuka burdaaani!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho .....eh leo maana saa saba hyo sahvKatibu tengeneza mpango wa kesho
Jr
Ndugu wajumbe hongereni kwa kuendelea kuchangia pato ili wanunue mindege yao mie nilikata Moto leo kuanzia kumi na moja jioni nimezinduka saa tano usiku, kisa kvant leo zimeniweza ila nikasema sikomi nimerudi kiwanja hapa sunset naendelea kulipa mikodi tu.View attachment 992215
Sent using Jamii Forums mobile app
Backup sinaga moyo wa uvumilivu yaani niajizungusha mpaka niimalize tu nilidhike, nataka nijifunze uvumilivu wa kuishi na backup
Hapo ungezimua ingekuwa mwakeBackup sinaga moyo wa uvumilivu yaani niajizungusha mpaka niimalize tu nilidhike, nataka nijifunze uvumilivu wa kuishi na backup
Sent using Jamii Forums mobile app