Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 152,998
- 453,962
Hahaahaukiniona utanikumbuka kweli...
Kwamba kakusahau au
Hahaahaukiniona utanikumbuka kweli...
Hallelujah
Wengine wanapokea ndege .....
Sisi wengine tunazichapa safari hpa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo umemsahau
HahhahahhaAise hi jan sielewi kabisa unatoka job utafikiri ulikuwa unalima namissje beer
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nimejaribu kuchungulia picha kwenda juu nimeambualia mikono tu. Nilijua simu yangu mbovu!
Pole stuka na bia 1 2Aise hi jan sielewi kabisa unatoka job utafikiri ulikuwa unalima namissje beer
Sent using Jamii Forums mobile app
Doh hata mm saa tano kamili nachomokaLeo punda katupa sogi, naenda kulala mapema nimezidiwa nisije pata ajali.View attachment 992080
Hata wewe ni mkubwa bwanaYaani nimejaribu kuchungulia picha kwenda juu nimeambualia mikono tu. Nilijua simu yangu mbovu!
Yaani hapa nilipo baridi kalii
Natundika vyombo wapii. Wakubwa wanafaidii
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshapaki wadau kesho panapo majaliwa.
Hahaaa...Wakati naitwa Mzee.Hata wewe ni mkubwa bwana