Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,596
- 45,225
Tangu jana nna kiu ya "biya" sijapata utuvu tuu,.mwenye kiu kama Mimi jamaniii em tutaftane asee,.
DuuAliyegundua hii kitu ashukuriwe sana, siku hizi uwezo wa kupiga vikali unapungua kwa kasi, au sijui ndiyo nataka kuokoka au ni nin hiki, mana napiga vi serengeti tu.
View attachment 863150
Nakupa siku mbili tena utaitafuta kwa tochiJUZI NIMEPIGA VYOMBO KIASI KUWA SASA NATAMANI NIKAE MWEZI NISISIKIE HIZI HABARI
Kunywa Pilsner King Mzee,ujihisi kama Mfalme wa kweliHivi balimi ni bia nzuri... Nataka kuanza kulewa rasmi hivi punde.
Kuna kiboko yake sasa inaitwa Pilsner King buku Jero tuu,na ukinywa 3 ushamaliza kila kitu.Hiyo pombe iko vizuri sana kwa uchumi huu hiyo inawahi kuamsha amsha
Slim5 naomba unisaidie kumpa location mzee baba,. ASAPToa direction ASAP
Nibia nzur ila uwe umekula kitimotoHivi balimi ni bia nzuri... Nataka kuanza kulewa rasmi hivi punde.
Hiki hapa kitimoto kipo.Nibia nzur ila uwe umekula kitimoto
Mwambi mmiliki abadilishe mezaWazee wa Ligi ngumu karibuniView attachment 863224
Mwambi mmiliki abadilishe mezaWazee wa Ligi ngumu karibuniView attachment 863224
Hayo ni mambo yetu hasa upate na nyagi...Hiki hapa kitimoto kipo.View attachment 863197
Hii ni ya Mtaa kwa mtaaMwambi mmiliki abadilishe meza