Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,606
696,728

1574059153012.png

Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.

Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa

. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina

Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo. Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi. Zile za ofa na hata za kwenye sherehe.

Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza.

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE!
 
186 Reactions
Reply
Back
Top Bottom