Mada maalumu ya walevi na wanywa pombe

Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
118,309
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
118,309 2,000
Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
 
MKUYENGE

MKUYENGE

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2019
Messages
3,274
Points
2,000
MKUYENGE

MKUYENGE

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2019
3,274 2,000
kuna kawimbo flan hivi kapiga Gadna kwenye Jahaz jion ya leo kanasema " .... i love beer..." mwenye alienako akaweke hapa kama kamenivutia kwa ijumaa ya leo kabla sijaenda kumchek Algeria akifa.
in heaven there is no beer that's why we're drinking here ......
 

Forum statistics

Threads 1,334,908
Members 512,150
Posts 32,490,423
Top