Mada maalumu ya walevi na wanywa pombe

Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
118,148
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
118,148 2,000
Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
 
Edward A chapa

Edward A chapa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
583
Points
1,000
Edward A chapa

Edward A chapa

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
583 1,000
Leo toka asbh nilikuwa bar moja inaitwa Good Time Park ipo stand ya Basi Luhanga maana toka bar ya King'ole pub iungue kwa moto wanywaji wengi wamehamia hapa, japo King'ole inafanyiwa ukarabati soon inarudi km mwanzo ,hapa Good time park nilikaa nikalipa kodi pale mpk saa 4 usiku nikaenda Ibungu Mabibo Mwisho nikapark gari nikaenda kilingeni nikakaa, Kumbe Bwana sijalock gari, nakuja kukumbuka muda huu ,jamaa anafungua mlango wa gari anashangaa why sijalock, Nashukuru hapa kuna ulinzi mzuri laa sivyo Leo mbona ningapata Majanga, maana nilikuwa na vitu vya maana na Muhimu kwa ofisi
 
Duu pole sana kiongozi
 
Forum statistics

Threads 1,334,362
Members 511,983
Posts 32,473,999
Top