Mada maalumu ya walevi na wanywa pombe

Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
115,955
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
115,955 2,000
Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
 
Zionist

Zionist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2017
Messages
1,323
Points
2,000
Zionist

Zionist

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2017
1,323 2,000
Kinachoniuma nasoma comment za watu, wakati mimi nipo ndani ya dozi ya typhoid siku ya sita leo.., kila nikiweka alama kwenye kalenda siku Hazitembei..
 
Blaki Womani

Blaki Womani

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
11,008
Points
2,000
Blaki Womani

Blaki Womani

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
11,008 2,000
Kinachoniuma nasoma comment za watu, wakati mimi nipo ndani ya dozi ya typhoid siku ya sita leo.., kila nikiweka alama kwenye kalenda siku Hazitembei..
Kiwanda hakifungwi mkuu maliza dozi.pole kwa kuugua get well soon
 

Forum statistics

Threads 1,325,711
Members 509,275
Posts 32,200,379
Top