Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Duu imekuwaje?

Jr
Nadhani unamfahamu,,kutoka na vile vituko vyake anavyofanyaga akiwa LIQUID ndo vimempa fursa nyingi...kwa sasa ni balozi wa halotel,,smirnoff,stars na mwezi wa nne kuna kampuni ambayo pia kapata ubalozi wanampeleka Marekani,,Ameshapelekwa kenya kufanya ziara...Maneno yake maarufu ni MAMAAA NAKUFAA AIII,ambayo Rayvanny kayatumia kwenye tetema..... Jamaa anasema yeye ni.mlevi smart

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Minazini Uwanja wa Taifa
IMG-20190319-WA0076.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom