Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,535
Hahahaha, ukiwa kiduka cha mangi ,niambie nije ,tuunge mkono juhudi
MTC | 101|
Chuma kinatoa jasho tu dadeeek hatari fire
Namtafuta katibu wangu wajumbe tunataka kukutana kamati tendaji kabla ya mkutano mkuu
Tuko pamoja namaluzia kipolo hata mswaki bado kupiga
Kweli mkuu
Mkuu anza kujilipa mahari mdogomdogo.Huyu mangi hapa jirani yangu anamtafuna dada wangu wa kazi, siwezi kumuunga mkono hata kidogo mpaka atakapoacha tabia yake ya kishenzi