mkumbwa junior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 801
- 1,539
Yaani mi pia lakini utamu wake nimeamua nikipate tuKweli mkuu nikinywa bia kitambi kinakuja fasta na sipendi kabisa kitambi
Hii ni mahususi kwa sisi wa moning to nighty
Hakuna bia tamu kama hiiHii ni mahususi kwa sisi wa moning to nighty
Nauipate ya bariiidi!.
Hapo mahala pake; yaani inatelemka utamu mpaka kisogoniNauipate ya bariiidi!.
Gambe popote mzee baba nmehamia kwenye safari lagerHii ni mahususi kwa sisi wa moning to nighty
baba pombana mi naendeleza nimeona ndogo inazingua nimehamia kubwa.Gambe popote mzee baba nmehamia kwenye safari lager
Ova
View attachment 1024870
Sent using Jamii Forums mobile app
Vizur mkuu, jiachie aisee naona unapuliza moshi wa wazungu kwa mbaliYaani mi pia lakini utamu wake nimeamua nikipate tuView attachment 1024857
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiachana na iyo chupa hapo uyo dada unitumie namba yake pmMpambano bado unaendeleaView attachment 1024977
Hilo zoezi nitakukamilishia mjumbe. Ila kuna uzi jukwaani wanadai condom zimeadimika shauriyako..