Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 37,404
- 79,653
Naona jicho hilo, umekunywa nini?sijambo babe...
Naona jicho hilo, umekunywa nini?sijambo babe...
mbege ya motoNaona jicho hilo, umekunywa nini?
Okeeee
Teh..mbege ya moto
Manengelo uwe na adabu unaitajaje mbege kimzaha mzaha hivyo!?bora ungesema umekunywa chang'aambege ya moto
Pande fulani za dumila nasubiria kurudi dar mdau....Manengelo uwe na adabu unaitajaje mbege kimzaha mzaha hivyo!?bora ungesema umekunywa chang'aa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mushimiwa kwema!?umeadimika kweli au ndio uliamua kustopisha vyombo kwa muda!!?Pande fulani za dumila nasubiria kurudi dar mdau....
Ova
View attachment 1019735
Sent using Jamii Forums mobile app
1.nlipigwa ban ya ajabuMushimiwa kwema!?umeadimika kweli au ndio uliamua kustopisha vyombo kwa muda!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu na karibu tena jamvini1.nlipigwa ban ya ajabu
2.nlikwenda gairo kwenye mishe sahv nko dumila nmepoz sehemu ila leo naingia dar
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Pengo lako lilionekana tu jukwaani mzee1.nlipigwa ban ya ajabu
2.nlikwenda gairo kwenye mishe sahv nko dumila nmepoz sehemu ila leo naingia dar
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpk nmeshindwa watafuta wadau wa moro
Mkuu ulikua kwenye dhahabu nn!?Mpk nmeshindwa watafuta wadau wa moro
Nmepiga sana tungi hpo terminal pub msamvu ......si unaona mambo ya pori kazi kazi hkuna kulala
Ova
View attachment 1019741View attachment 1019742View attachment 1019743
Sent using Jamii Forums mobile app
Epuka ghazabu huko kwenye siasa maana kuna wapuuzi wa ccm wanakera sana.
Kweli wenyewe nashanga hawalimwi banEpuka ghazabu huko kwenye siasa maana kuna wapuuzi wa ccm wanakera sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wana kinga kama mtukufu wa wao na ukishindana nao utakua unapigwa ban daily cha kufanya ukiona vp unamuweka kwenye ignore list.