Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wakuu pamoja na kula burudani embu tumchekie huyu kijana chance yeyote ya ajira ili kuweza kusukuma na yy gurudumu la maisha :najua walevi tunapendana na kusaidiana kijana huyu amenifata pm mara kadhaa na kuna baadhi ya vigezo angekuwa nazo ningemsaidia so naomba mwenye chance yeyote ya kazi tumsaidie .

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehem nampigania, kazi nyakati hizi zina ugumu sana. Ila Mungu hashindwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nashukuru sana kwa kuguswa na suala langu!

Nachukua nafasi hii pia kuwashukuru wakuu wengine kama The August mrangi Mshana Jr kwa kuwa concerned na hili suala langu la ajira!

Kwa wale niliowajia pm mnisamehe sana kama kwa namna moja ama nyingine nikiwakwaza, ndugu zangu kukosa kazi rasmi huku unategemewa, ni pigo

Naomba sana msaada wenu nifanikishe hili jambo
Cc Mtende, dadaangu naomba pia msaada. Najua wewe ni expert kwenye haya mambo ya HR.
Usijari mkuu. As a man naelewa unachokipitia. I hope tutafanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nalipia kodi pande za tabata mikasa hapa
IMG_20190119_213616.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
186 Reactions
Reply
Back
Top Bottom