Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

milk leo...tena kikombe cha thermos
1547147793927.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatuachaje

Jr
Niliwaachia deni la kunitafutia ajira mkuu maana nasikia deals nyingi zipo bar!

Nitatoa fungu kubwa sana la shukrani kwa ataenifanikishia kupata kazi.

Nina Degree ya Logistics Management, with 3 years professional experience katika supply chain management.

Napatikana Mwanza

Napatikana kwa namba hii 0683011003
 
Umefanya vema kuliweka wazi hili hebu tuma maombi yako hapa Kedstanzania@yahoo.com

Jr
 
Back
Top Bottom