Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Jamaa kajinyea

FB_IMG_15361353697650470.jpg
 
Mjomba wenu napigia monde/vyombo kwenye kilabu ambacho hakina hata sakafu wala tires za marumaru. Hapa Mimi ndio superstar it feels good kukaa na wajinga I fell like genius.
Ukiagiza balimi kila mtu anakushangaa hapa sababu pombe wanazokunywa ni za jero jero...inanifanya naonekana kama Billget kisa nimeagiza Balimi.View attachment 863113
We utakua upo bukoba vijijini ndanindani uko
 
Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Waiter zungusha tena kwa kira mchangiaji
 
Mjomba wenu napigia monde/vyombo kwenye kilabu ambacho hakina hata sakafu wala tires za marumaru. Hapa Mimi ndio superstar it feels good kukaa na wajinga I fell like genius.
Ukiagiza balimi kila mtu anakushangaa hapa sababu pombe wanazokunywa ni za jero jero...inanifanya naonekana kama Billget kisa nimeagiza Balimi.View attachment 863113
Hapo kuku polii wote wako
 
186 Reactions
Reply
Back
Top Bottom