Mada maalumu ya walevi na wanywa pombe


Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
106,120
Likes
128,843
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
106,120 128,843 280
Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
 

Forum statistics

Threads 1,263,097
Members 485,791
Posts 30,142,571