Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nachangia mada kwa uchungu sana kiu kimebana balaa
Najua majukumu umebanwa mzee baba
Vp si ujiibe
Kuna siku nilienda polisi obay alafu ikawa mapema ah Nkaenda kwenye bar yao pale
Nkamwambia kaunta afanye mazabe ninywe
Moja mbili....nkampa teknics zetu zile Aweke pombe ndani ya dragon au redbull sisi tupige mambo
Tulilewa kuanzia saa nne mpaka kesho yule kaunta salute

Ova
 
hapa nilipo michongo hiyo iko mbali mwana ngoja tu nivumilie
 
Ova
20180919_150631.jpg
 
Back
Top Bottom